Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji3][emoji3][emoji3]... We lazima utakuwa mmoja wapo! Make wote uliowataja ni wanga kweli kweli. Kuna wawili huwa wanaibuka alfajiri, moudgulf na ISIS. jakitoo yeye kila siku usingizi unakata! [emoji3][emoji3]
 
Aisee mwanzo na Mimi nilikuwa napiga sana mida ya wanga lakini ratiba nimebadilisha kabisa sasa hata masaa nane mpka 24 Sijaingia
Hila wiki napiga muda wote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…