konge
JF-Expert Member
- Sep 1, 2014
- 6,621
- 41,334
Naanza kuona wazee wa night shift sasa,Konge na Yegomasika
[emoji3][emoji3][emoji3]
Naanza kuona wazee wa night shift sasa,Konge na Yegomasika
Moudgulf naye anapiga sana mida ya wangajuzi nilikesha nilimuona,moudgulf nayeye anakuja kuangalia usalama na kuondoka
Mungu ni wetu soteTeh teh teh aiseeh pangechafuka kwa kweli.
Dogo kulikoni mapema leo.Mko wengi bado acha nisinzie kwanza
Niko poa kabisa asante kwa kunifariji Leo maana dah si kwa kipigo kile
[emoji124] [emoji124] [emoji124] Siwezi kutumaUnitumie bili tu
Na kwako pia ulale salama
Sare ya kitenge unataka niwe kama jokeri[emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji22][emoji22]kwanini isiwe wewe
Teh teh tehJamaa amenipa moto sana sema tupo kwenye malikes nimemsamehe
Hila fools itamrudia mwenyewe
Mkuu niajeKwa nini kiongozi?
HahahahahaVimetosha unataka sare zingine za kuwasuta wizi na mafumanizi
HahahhaaHapa Yegomasika, pale konge, ghafla HARUFU huyoo... BAK kwa mbaali na moudgulf, ISIS kiuchovu chovu, mara paaap Kichwa kichafu na carba[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] jakitoo usingizi umekata, kugeuka nyuma moyoyambendi na KOMBORAAA.... [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
Mkuu niaje
hahahahahaHapa Yegomasika, pale konge, ghafla HARUFU huyoo... BAK kwa mbaali na moudgulf, ISIS kiuchovu chovu, mara paaap Kichwa kichafu na carba[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] jakitoo usingizi umekata, kugeuka nyuma moyoyambendi na KOMBORAAA.... [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]