Bob12
JF-Expert Member
- Feb 27, 2017
- 11,422
- 58,790
Black rebel au red rebel [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Na hivi leo weekend, tunaanza mapema! Na John Mtembezi( Walker) kwa pembeni, mambo kwatu kabisa! [emoji3]
hahahahahaMambo safi sana spain
Barcelona tunatikisa vizuri hadi waelewe
Black rebel au red rebel [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
wewe jamaa na konge nimewavulia kapelo kabisaNa hivi leo weekend, tunaanza mapema! Na John Mtembezi( Walker) kwa pembeni, mambo kwatu kabisa! [emoji3]
King messiMessi
CantstopwontStop
Kilikuwa kicheko mkuuNini tena kichwa
Haya basi.... Usiku mwemaHeeee jamani[emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]kunywa nitalipa kwa tgopesa[emoji6]
Leo naona walikuwa na mchana wanachombeza kidogoNaanza kuona wazee wa night shift sasa,Konge na Yegomasika
wewe jamaa na konge nimewavulia kapelo kabisa
Leo naona walikuwa na mchana wanachombeza kidogo
Daaah nimekuahonea sare tu na ho chi minhNipe matokeo basi
juzi nilikesha nilimuona,moudgulf nayeye anakuja kuangalia usalama na kuondokaKuna mwingine anaitwa@Harufu! Huyu huwa anazuka zile dakika za majeruhi! [emoji3][emoji3]
Teh teh teh aiseeh pangechafuka kwa kweli.Hahahhaa Kichwa kichafu alishaanza maneno kuntu
Acha tuwapishe[emoji23]Na hivi leo weekend, tunaanza mapema! Na John Mtembezi( Walker) kwa pembeni, mambo kwatu kabisa! [emoji3]
Jamaa amenipa moto sana sema tupo kwenye malikes nimemsameheHahahhahaha.
Liverfools