Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
Kicheko changu mwisho hakikuwa sawa hadi nikaogopa kurudi dogo.Hiki kicheko hiki mmh
Heeee jamani[emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]kunywa nitalipa kwa tgopesa[emoji6]Tuma hela ya jibapa ili nikusamehe, lasivyo kau kau.....
AlishaanzaKK kalala mbele[emoji23][emoji23]
Haya hii sare tunavaa kwenda wapi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kicheko changu mwisho hakikuwa sawa hadi nikaogopa kurudi dogo.
Vitambaa vimetosha[emoji23][emoji23][emoji23]kama twaenda harusini eeh
Nipo na pakwenda
Subiri tumuulize Kichwa Kichafu hii sare ya leo vitambaa vimetosha au tutaongezwa nyingine mechi ijayo?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Vitambaa vimetosha
My QueenHahahaha