Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
Tuma hela ya jibapa ili nikusamehe, lasivyo kau kau.....Basi yawezekana nilisoma haraka
Hiyo habari ya gas nakumbuka mana alisema hata mafuta yamepanda bei
Pole kwa kukukwaza[emoji120]
HahahahaSimba wa nyika
HahahahaTuma hela ya jibapa ili nikusamehe, lasivyo kau kau.....
Kazi kweli kweliNakupa talaka kwa shingo Hahahahaha
Msondo Ngoma music band