Mkuu habari ya makao makuu?Hahahahaha
Habari ya jumamosi mkuu
Kwenye intavyuu kule kuanzia oage ya 19 nafikiriAah usiogope bana au nipe link
Mkuu pitia post zake hapo juuAlisema watadrive ila tatizo foleni kwenye gas na highway.
Puerto Rico kimeharibu sana, na alipo yeye pana mkondo mkali kiasi kwamba kinaweza kuleta madhara makubwa
Mkuu habari ni nzuri kabisaMkuu habari ya makao makuu?
Mkuu... NipooooMzee wa Tukuyu
Basi yawezekana nilisoma harakaAlisema watadrive ila tatizo foleni kwenye gas na highway.
Puerto Rico kimeharibu sana, na alipo yeye pana mkondo mkali kiasi kwamba kinaweza kuleta madhara makubwa
Ujanja wote mmetoa sare leo[emoji23][emoji23]Bora kuliko 5g
CantstopwontStop
Mungu aendelee kuwafanyia wepesiMungu ashukuriwe sana gharika la IRMA limepungua nguvu kutoka category 5 na sasa kuwa category 3.