Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

_97733158_986155bf-51cb-4080-9f0f-e57108307268.jpg
_97733160_6bf22819-0f25-44e7-b612-b129d93566b0.jpg
 
Nikikumbuka nilivyokukwoti wewe na yeye ili unionyeshe aliposema ameondoka, ukanikwotua kwa mashushu na kusema mimi nazeeka vibaya... Kweli? Mimi? Haya si aliondoka? Unafadhaika nini? Niliumia siku ile hadi machozi yaligoma kutoka... [emoji19] [emoji19] [emoji19] [emoji19] [emoji19] [emoji19]
Kuna sehem kwenye ile post alisema yuko na jamaa gani sijui wana drive kama 7hrs hivi nikajua wamesepa mana nilimwambia kama inawezekana kuondoka ingekuwa ni kheri ndo akanijibu vile
Pole samahani [emoji120][emoji120]
 
Yuko sehemu salama embu pitieni post zake lakini hali si nzuri karibia eneo kubwa na wameamliwa na mamlaka husika kutotoka nje mpka jumatatu
 
Kuna sehem kwenye ile post alisema yuko na jamaa gani sijui wana drive kama 7hrs hivi nikajua wamesepa mana nilimwambia kama inawezekana kuondoka ingekuwa ni kheri ndo akanijibu vile
Pole samahani [emoji120][emoji120]
Alisema watadrive ila tatizo foleni kwenye gas na highway.
Puerto Rico kimeharibu sana, na alipo yeye pana mkondo mkali kiasi kwamba kinaweza kuleta madhara makubwa
 
Back
Top Bottom