moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Fabio Kapello ni Kocha mzuri, lakini si Kocha bora kabisa. Kuna Kocha anaitwa Vittorio Pozzo, ulishamsikia? Huyu aliongoza Italia kuchukua kombe la dunia, FIFA World Cup mara mbili mfululizo 1934 na 1938.Kocha bora kabisa ITALY
Sent using Jamii Forums mobile app