Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Huyu akipigwa na shoti ya umeme, yeye na punda wake wanaondoka! Au anafikiria hizo kwato za punda ni insulator, kwamba hata akipigwa shoti saketi haitakamilika kwa vile umeme hautakuwa na uwezo wa kwenda ardhini? [emoji3][emoji3][emoji3]
Waafghanistan hawa. Wameshazoea haya. Wewe unasoma hayo manadharia kitabuni. Yeye anajua jinsi ya kukinzana na hayo manadharia yako. Ukitaka kumwelewa vizuri kaa uongee naye. Utashangaa maarifa aliyonayo. Utaandikia hata PhD ya electrical engineering [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…