Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

fe236d28d55544bdbab96612537d4f0f.jpg
[emoji1317][emoji1317]
Hata goli la mkono[emoji41] [emoji41]
 
Waafghanistan hawa. Wameshazoea haya. Wewe unasoma hayo manadharia kitabuni. Yeye anajua jinsi ya kukinzana na hayo manadharia yako. Ukitaka kumwelewa vizuri kaa uongee naye. Utashangaa maarifa aliyonayo. Utaandikia hata PhD ya electrical engineering [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Duu... Hahaaa, ndiyo maana ile nchi Marekani wameshindwa kabisa kisawazisha mambo! Kama ndio hivyo basi vimjamaa navyo ni vijanja sana! [emoji3][emoji3]
 
Duu... Hahaaa, ndiyo maana ile nchi Marekani wameshindwa kabisa kisawazisha mambo! Kama ndio hivyo basi vimjamaa navyo ni vijanja sana! [emoji3][emoji3]
Wamarekani walionywa na Warusi kuwa wasiende kwa sababu jamaa hawashindiki. Hawakusikia. 10+ yrs, billions and billions of $ bado ngoma mbichi. Na hawana mategemeo ya ushindi!
 
Back
Top Bottom