andjul
JF-Expert Member
- Dec 14, 2013
- 19,383
- 121,663
Safi. Nipo kwa barabara, nimeliamsha limbaula langu. Jiandae kuja kununua mafyulisi, mang'ang'a, maparachichi, matunda damu, bamia, mapohala, n.k.Baada ya siku nne ndio nafika huko mjiniSalama kabisa
Sijui habari ya huko