Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Safi. Nipo kwa barabara, nimeliamsha limbaula langu. Jiandae kuja kununua mafyulisi, mang'ang'a, maparachichi, matunda damu, bamia, mapohala, n.k.Baada ya siku nne ndio nafika huko mjini

Siku4?zote hizo wasafiri[emoji38][emoji38]
We nawee si ungesema nikusubiri nije ninunue mapema[emoji6][emoji6]
Nikutakie safari njema ufike salama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…