moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Nani huyo Numbisa
CantstopwontStop
Hata kama basi aishie huku sio kuchafua threads za wenzie bana aah. Naanzisha thread nzur jukwaa la photo yeye anakuja kucopy picha kama zilivyo na kuzirusha hapo hapo hadi kero.OK anakuwepo sana mida ya wanga na mkuu konge yegomasika ndio mida yap hiyo
mungu [emoji735]
OK nimekupata numbisa mida ya wanga anatupia sana pichaHata kama basi aishie huku sio kuchafua threads za wenzie bana aah. Naanzisha thread nzur jukwaa la photo yeye anakuja kucopy picha kama zilivyo na kuzirusha hapo hapo hadi kero.
Zama hizi zimegawanyika katika sehemu nyingi
Zama za kwanza za mawe
Wahindu, Banyiani,*Ushawahi kwenda kwny duka la Muhindi ukakuta yuko na kile kidot cha red [emoji837] usoni kwny komwe lake, basi Mkiongea unaona kama vile ana kurecord..??!*
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Simpi Kiki kunguni wa mwendokasi