And Lukaku will certainly be hoping that is a good omen as he looks to lead Jose Mourinho's side to more honours this term.
In addition to matching that United achievement, Lukaku's goal was also his 150th in club football.
Lukaku scored 47 times at his first club Anderlecht, 17 at West Brom, 87 while at Everton and he has notched five goals in all competitions for United, having also netted in the UEFA Super Cup against Real Madrid.
Nguvu ya upepo mkali unaondamana na kimbunga, kimeanza kugonga visiwa kadhaa kusini mwa jimbo la Florida nchini Marekani, huku kimbunga kikiacha uharibifu mkubwa katika visiwa vilivyoko kwenye bahari ya Atlantic huko Caribbean, kuelekea Marekani.
Kimbunga Irma, kinatarajiwa kugonga maeneo hayo, baadaye leo Jumapili.

Viwango vya maji tayari vimeanza kuogezeka katika maeneo ya pwani ya Florida, eneo ambalo linatarajia kimbunga kikubwa kuwasili.
Taharuki na hatma ya baadaye ya mji wa Tampa, ambao unakabiliana ana kwa ana na njia inakopitia kimbunga hicho, haijulikani.

Tampa inasemekana kuwa ni mji ulioko katika mazingira magumu zaidi nchini Marekani, hasa kuhusiana na hatari ya kugongwa mara kwa mara na vimbunga.
Zaidi ya watu milioni 6 huko Florida wanaondolewa majumbani mwao- robo tatu ya idadi nzima ya watu wa jimbo hilo.

Wakuu katika jimbo hilo wametangaza hali ya tahadhari ya kutotoka nje, katika baadhi ya maeneo ya jimbo hilo, ukiwemo mji wa Miami.
Huku ni kwema ndugu yangu. Likimbunga lilichelewa kukata kona. Litafika hapa nilipo leo usiku saa mbili. Nimeshachoka kulisubiri. Huko vipi? Kwema?Mkuu niaje hali yako uko ulipo uko salama lakini
Ni kweli shimba mazingira umfanya mtu kuwa mwelevu sana