mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
AminaTuwe na siku ya heri
AminaTuwe na siku ya heri
AminaTujaaliwe afya njema
AminaWa kupumzika ..mapumziko mema
AminaWa kuchakarika siku njema
Kabisa mkuuJuhudi ni muhimu kwa kila jambo
Uleta mafanikio boraJuhudi na maarifa..
10:1905:52
10:2006:02
ImefikaAsubuhi hiyooo
HahahahahaSio natandika tu mikeka Mimi ni wakala shekh meridianbet & premierbet
Mkuu niaje hali yako uko ulipo uko salama lakiniWaafghanistan hawa. Wameshazoea haya. Wewe unasoma hayo manadharia kitabuni. Yeye anajua jinsi ya kukinzana na hayo manadharia yako. Ukitaka kumwelewa vizuri kaa uongee naye. Utashangaa maarifa aliyonayo. Utaandikia hata PhD ya electrical engineering [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Geography ya Afghanistan ni ngumu sana waingereza walipigana pale vita miaka kumi wakakimbiaDuu... Hahaaa, ndiyo maana ile nchi Marekani wameshindwa kabisa kisawazisha mambo! Kama ndio hivyo basi vimjamaa navyo ni vijanja sana! [emoji3][emoji3]
Vipi Mkuu unataka kuama arsenal nini
Hahahahaha nilifikiri kumfukuza wenger
Kweli kabisaDada kumtosa jamaa mwenye mahela na kumchagua kapuku alimradi anampenda na ana amini atafanikiwa naye nayo ni maamuzi magumu
Sent using Jamii Forums mobile app
HahahahahaKuuza phantom 6 yako na kununua kitochi ili ufanye biashara nayo ni maamuzi magumu
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha kabisa hiyo nchi ni balaaaWamarekani walionywa na Warusi kuwa wasiende kwa sababu jamaa hawashindiki. Hawakusikia. 10+ yrs, billions and billions of $ bado ngoma mbichi. Na hawana mategemeo ya ushindi!