Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

a783e7a212ab5e2f5f5874f366d74556.jpg
Amen
 
Mimi pia Wakuu baada ya kandanda na Basketball ni tennis. Kwa wanawake ni Williams sisters ambao huwa naamka usiku wa manane kuwaangalia hasa kama ni semifinal au final. Venus kanibore kweli juzi kufungwa katika mechi aliyostahili kushinda.

Tennis kwa wanaume nampenda Rafa Nadal.
Kwenye BBall tupo pamoja mkuu huwa naamka alfajiri sana kuangalia NBA yaani ni uraibu tosha
 
BAK [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] am just doing a lil jog sitomfikia kwa mbio hizo
Hahahahaha
 
Back
Top Bottom