ho chi minh
JF-Expert Member
- Sep 27, 2016
- 32,904
- 163,077
Town
Wasiojulikanawasiojulikana!
HahahahahaHuyu akipigwa na shoti ya umeme, yeye na punda wake wanaondoka! Au anafikiria hizo kwato za punda ni insulator, kwamba hata akipigwa shoti saketi haitakamilika kwa vile umeme hautakuwa na uwezo wa kwenda ardhini? [emoji3][emoji3][emoji3]