Hakuna silaha inayoweza kumshinda mtu aliye tayari kufa.Geography ya Afghanistan ni ngumu sana waingereza walipigana pale vita miaka kumi wakakimbia
Russia walipigana nao miaka kumi wakaondoka kimya kimya sijui America
Labda walichofanikiwa ni kuharibu miundo mbinu nyingi zao za maficho kule Tarabora