mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Tutakuwa na post za kutosha
Kuleee ulikoenda [emoji39] [emoji39] babyJakitoo. Leo nakutoa out baby. Mama Viv aliyepatikana kumbe ni Msomali. Chagua hoteli yo yote......
Mungu akawe pamoja nanyi sasa na hata milele[emoji120] [emoji120]Huku ni kwema ndugu yangu. Likimbunga lilichelewa kukata kona. Litafika hapa nilipo leo usiku saa mbili. Nimeshachoka kulisubiri. Huko vipi? Kwema?
Pole mtani jana ulijichanganya 5G sio mbaya kama 7GHahahahaha
"Usiitamani picha ya mwenzako" haujasoma maandiko?Na aliyeiweka picha je[emoji41] [emoji41]
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]"Usiitamani picha ya mwenzako" haujasoma maandiko?
Huo si mtaa mkuu eneo la Osterbay. Ijapokuwa ni mbunge wa Kiembesamaki lakini nafahamu vilivyo mitaa hiyo.