mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Ukiona Kobe ameinama
HahahahahaUkuta utaanguka
HahahaAmuangalie Bashite
HahahahahaHuyu atakuwa halipendi jua.
HahahahahaSi mtembea peke yake kama Liverpool
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Atatafuta namna ya kushuka chini.
Kwenye kuku wengi..Msimwage mchele
18:0718:03
Du nimekubaliAtakuwa hapendi kuchumia kivulini
HahahahahKatibu mwenezi wa MACCM🙂
Mbavu zanguUjue kachoka au Ana njaa kali.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Iko gonjwa kama si gonjwa basi iko hanithi.