mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Maji yakimwagika
Usipoziba ufa
VIPIMO NA MATIBABU
Uchunguzi wa wingi wa damu hufanyika kwa kupima kiasi cha mkusanyiko wa pamoja wa chembe nyekundu za damu kitaalamu huitwa Haemoglobin pamoja na kufanya kipimo kingine cha damu kijulikanacho kama Peripheral Smear.
Vipimo vingine vya maabara ni pamoja na kipimo cha kufahamu uwezo wa kuhifadhi madini ya chuma yaani Total Iron Binding Capacity (TIBC), kiasi cha Feritin katika damu pamoja na kiasi cha Folic Acid.
Poa Mzee wa liver.Bd mambo
[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]Karibu kwenye Uzi pendwa