Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

DALILI ZA UPUNGUFU WA DAMU
Mtu mwenye tatizo la upungufu wa damu mara nyingi huwa amepauka mwili na viganja na kucha kuwa nyeupe na hujisikia kuchoka, udhaifu na huwa na mwendo kasi wa damu (yaani High Pulse Rate) na macho yake huwa meupe.
Dalili nyingine ni mgonjwa kuhisi kiu, kizunguzungu wakati akisimama, kuwa na mahangaiko ya moyo wakati akitumia nguvu kufanya jambo lolote, kuhema mfululizo na kupumua harakaharaka,
 
mapigo ya moyo kwenda kwa kasi, kuhisi uchovu au hata kuishiwa kabisa na nguvu.
Dalili nyingine ni kusikia maumivu ya kifua pamoja na akili yake kushindwa kufikiri sawasawa, vilevile kuvimba kwa tumbo au sehemu za chini yake, kupoteza nguvu na macho kukosa nuru ya kuona vizuri.
 
VIPIMO NA MATIBABU
Uchunguzi wa wingi wa damu hufanyika kwa kupima kiasi cha mkusanyiko wa pamoja wa chembe nyekundu za damu kitaalamu huitwa Haemoglobin pamoja na kufanya kipimo kingine cha damu kijulikanacho kama Peripheral Smear.
Vipimo vingine vya maabara ni pamoja na kipimo cha kufahamu uwezo wa kuhifadhi madini ya chuma yaani Total Iron Binding Capacity (TIBC), kiasi cha Feritin katika damu pamoja na kiasi cha Folic Acid.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…