Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Huku kwema shemeji. Likimbunga bwana lilichelewa kukata kona likatanga tanga huko baharini likajiongeza nguvu kidogo. Sasa wanasema litafika hapa saa mbili mpaka saa nane usiku. Mawingu meusi tii na mvua inanyesha kuanzia asubuhi.Habari ya huko?vipi likimbunga?
Asante kwa kujali shemeji !!!