Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kwenu pia
 
 
 
Muimbishaji anaimbisha bila kumuangalia muimbishwaji. Muimbishwaji anaimbishwa, anang'ata kidole na uso kauinamisha! Sasa ikifikia kibwagizo nadhani hata sauti ya wimbo hatutaisikia! [emoji3][emoji3]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Maisha bwana we acha tu. Umedadavua vizuri sana andaeitini.
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…