Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
MAJI YA LIMAO
kata limao vipande viwili
chukua kimoja na uanze ku sugua katika magaga yako hakikisha maji ya limao yana ingia au kupita katika magaga yako
fanya hivi kwa muda usio pungua dakika tano
kisha sugua magaga yako kwa brush/jiwe
na uoshe miguu yako