Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
V837
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]*WAHENGA WAMEPATA SABABU ZA KULALA NJE*
To my wife
*Samahani sana kila nikitoa mguu hapo nje ya ofisi nakuta Nissan nyeupe imepaki. Hvyo leo nalala ofisini*.
Mimi mumeo
Mke: Nakuelewa mume wangu hata hapa ofisini kwetu kwa nje naona nissan nyeupe, nimebaki na boss tu sisi pia tunaogopa kutoka nadhani tutalala ofisini pia.
Mume: nakupitia sasa hivi mke wangu lazima tuwe majasiri tukiwaendekeza hawa watu wasiojulikana hawataicha ndoa salama.
[emoji125]
Mbona mapema? Au huyo Msomali anakukaribisha Somaliland tayari? [emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️
[emoji23] [emoji23] [emoji23] hiyo baiskeli itakuwa avoni au foneksiWahenga mpo? Tena baisikeli hapa iwe Swala mpya hata plastiki hujazitoa. Binti lazima aingie kingi....
![]()