Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
V816
Hahahahaha hovyo sana huyo jamaaWewe ni nani humu mpaka utangaze pumba zako humu. Acha kujibaraguza na kujikweza kujitoa madaraka usiyokuwa nayo. Huu ni uzi mama wa JF kama unaboreka waambie MODS wakuanzishie jukwaa lako la MAZWAZWA.
USD or TshNamba unazoziona hazijakosewa mkuu..ziko sahihi kbs.
Hahahha hatari sana*WAHENGA WAMEPATA SABABU ZA KULALA NJE*
To my wife
*Samahani sana kila nikitoa mguu hapo nje ya ofisi nakuta Nissan nyeupe imepaki. Hvyo leo nalala ofisini*.
Mimi mumeo
Mke: Nakuelewa mume wangu hata hapa ofisini kwetu kwa nje naona nissan nyeupe, nimebaki na boss tu sisi pia tunaogopa kutoka nadhani tutalala ofisini pia.
Mume: nakupitia sasa hivi mke wangu lazima tuwe majasiri tukiwaendekeza hawa watu wasiojulikana hawataicha ndoa salama.
[emoji125]
Hii hatari
Tayari Boda
Pokea mkuu
Kila wakati na kila mara [emoji818][emoji818][emoji818][emoji25]Mungu ni mwema.
Kazi kweli kweli