Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
Hahaha[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mkuu unaniharibia
Hahahahaha[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] me nimeijua baiskeli tuu hayo mengine akuuu...... alafuuuuuu weweeeee[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125]
Mungu aendelee kuwalindaHuku kwema shemeji. Likimbunga bwana lilichelewa kukata kona likatanga tanga huko baharini likajiongeza nguvu kidogo. Sasa wanasema litafika hapa saa mbili mpaka saa nane usiku. Mawingu meusi tii na mvua inanyesha kuanzia asubuhi.
Asante kwa kujali shemeji !!!
21:2419:55