mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Nimekuona MkuuKama kawa
Bila ugali wa muhogo hapo, kisamvu kilichochanganywa na majani ya mlonge na sato pembeni hakuna kitu. Utaishia kuhema tu na kuzabuliwa vibao [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Du hatari