Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Hila kweli hilo linchi kubwa sanaSi unalijua hili linchi lenyewe lilivyo kubwa, yaani hata dalili tu hakuna! [emoji23][emoji23]
Mkuu mbona mapemaUsiku mwema
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] maisha popoteHuku leo usiku hapakaliki. Ni shida lakini acha tu nitest zali. Ndo maisha [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
HHughly555
SCRUB
kabla ya kwenda kulala scrub miguu yako kwa kufanya hivi
chemsha maji yawe ya uvugu vugu
mimina kwenye beseni
weka sabuni katika maji yako
na tumbukiza miguu kisha uanze kusugua kama na jiwe au brush
ukimaliza kausha miguu na kitambaa kikavu na upake mafuta kisha vaa socks ulale nazo usiku mzima
fanya hivi kila siku mpaka magaga yatakapo isha
HahahahahaYawezekana. Cheamani ataleta confirmation...
Mnyakyusa kasoro rangiMnyakyusa anakatiza mitaa ya Los Angeles mchana kweupeee...
Nansio hahahahahaNansyo mwozowe! [emoji23][emoji23]
Ingefika ikiwa cat 4 ingekuwa hatari SanaAmeshasaidia tayari. Walikuwa wanasema itafika hapa ikiwa category 4 lakini sasa wanasema pengine itafika ikiwa cat. 2. Tayari huo ni muujiza !!!