Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
1.STUBBS Kutoka TALKEETNA ,ALASKA
Huyu ni mnyama aina ya paka ambae amekuwa akiongoza jimbo la Talkeetna huko Alaska kama Meya wa jij hilo lenye takribani watu 900, uchaguzi wa Stubbs kuwa Meya wa jiji la Talkeetna unafuatia baada ya wananchi wa jimbo hilo kusema kuwa hawapendi kuongozwa na mgombea binadamu na hivyo kushawishiana kumpigia kura Stubbs awe Meya wa jiji hilo ili pia kuweza kuwavutia watalii.