JE UNAFAHAMU NINI KUHUSU KUJAMBA?
Kwanini tunajamba? kwanini "ushuzi" unanuka?
Kujamba
inaweza kuwa kitendo cha aibu kwa wengi wetu,lakini
inaweza kukufanya ujisikie vizuri kujua kwamba ni tendo
la kawaida sana kwa mwili wa binadamu kutenda.Kila
mtu anajamba,hata Halle Berry nae hujamba.
We si ushanunuliwa na yule naniiiiWe nae nakushangaa unavyoshabikia kwenda kuishi na mme wa mtu na wakati uko na mme wako.
JE UNAFAHAMU NINI KUHUSU KUJAMBA?
Kwanini tunajamba? kwanini "ushuzi" unanuka?
Kujamba
inaweza kuwa kitendo cha aibu kwa wengi wetu,lakini
inaweza kukufanya ujisikie vizuri kujua kwamba ni tendo
la kawaida sana kwa mwili wa binadamu kutenda.Kila
mtu anajamba,hata Halle Berry nae hujamba.
JE UNAFAHAMU NINI KUHUSU KUJAMBA?
Kwanini tunajamba? kwanini "ushuzi" unanuka?
Kujamba
inaweza kuwa kitendo cha aibu kwa wengi wetu,lakini
inaweza kukufanya ujisikie vizuri kujua kwamba ni tendo
la kawaida sana kwa mwili wa binadamu kutenda.Kila
mtu anajamba,hata Halle Berry nae hujamba.
Hiyo hela ya manunuzi ww ndio umepokea?We si ushanunuliwa na yule naniiii
Huyu yuko singo saiv muache[emoji23][emoji23][emoji23]
JE UNAFAHAMU NINI KUHUSU KUJAMBA?
Kwanini tunajamba? kwanini "ushuzi" unanuka?
Kujamba
inaweza kuwa kitendo cha aibu kwa wengi wetu,lakini
inaweza kukufanya ujisikie vizuri kujua kwamba ni tendo
la kawaida sana kwa mwili wa binadamu kutenda.Kila
mtu anajamba,hata Halle Berry nae hujamba.
JE UNAFAHAMU NINI KUHUSU KUJAMBA?
Kwanini tunajamba? kwanini "ushuzi" unanuka?
Kujamba
inaweza kuwa kitendo cha aibu kwa wengi wetu,lakini
inaweza kukufanya ujisikie vizuri kujua kwamba ni tendo
la kawaida sana kwa mwili wa binadamu kutenda.Kila
mtu anajamba,hata Halle Berry nae hujamba.
Heeeeee[emoji15][emoji15][emoji15]Hiyo hela ya manunuzi ww ndio umepokea?
1.Kujamba ni nini hasa?
Kujamba kunasababishwa na kubanwa kwa hewa,ambayo
inaweza kutoka mwilini kwa njia nyingi.Baadhi ni hewa
tuliyoimeza wakati wa kula au kunywa.Hewa ingine
husababishwa na gesi kuingia kwenye utumbo wetu
kutoka kwenye damu,na baadhi ya gesi huzalishwa na
kemikali katika utumbo au bakteria.Kwa kawaida
"ushuzi" unakua na asilimia 59 ya gesi ya
nitrogen,asilimia 21 ni hydrogen,asilimia 9 ni carbon
dioxide,asilimia 7 methane na asilimia 4 ni oygen.