Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
W137
Hujawahi liona[emoji23][emoji23][emoji23]
Acha kumtisha[emoji23][emoji23][emoji23]Hahahha utarudi labda sio mm.
Safi kabisa mkuu. Kwetu ndio tunaimaliza jumatatuKwema kabisa, niaje Cheameni? [emoji23][emoji23]
We nae nakushangaa unavyoshabikia kwenda kuishi na mme wa mtu na wakati uko na mme wako.Acha kumtisha[emoji23][emoji23][emoji23]
JE UNAFAHAMU NINI KUHUSU KUJAMBA?
Kwanini tunajamba? kwanini "ushuzi" unanuka?
Kujamba
inaweza kuwa kitendo cha aibu kwa wengi wetu,lakini
inaweza kukufanya ujisikie vizuri kujua kwamba ni tendo
la kawaida sana kwa mwili wa binadamu kutenda.Kila
mtu anajamba,hata Halle Berry nae hujamba.