mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Hahahahaha
Mchina niaje
HahahaCc kichwa Kichafu
CantstopwontStop
JumatatuWAKUU JMOSI
CantstopwontStop
Hahahahaha hapo sawaTAREHE KUMI NA SITA JUMAMOSI
CantstopwontStop
Aisee nilisahauTUNATIMIZA MIEZI MITATU
CantstopwontStop
IndeedI HOPE 4K
CantstopwontStop
6.Kwa Baadhi ya Tamaduni,Kujamba Sio Ishu
Wakati tamaduni nyingi zikichukulia tendo la kujamba
lifanywe kistaarabu,kuna baadhi ya tamaduni hawaoni
haya kujamba hadharani,na pia hufurahia tendo
hilo.Mfano kabila la Yanomami huko America ya
Kusini,kwao husalimiana kwa kujamba,na China
unaweza kupata kazi ya kunusa ushuzi! Katika Roma ya
zamani,Mfalme Claudius akihofia kwamba kujizuia
kujamba inaweza kuwa hatari kiafya,alipitisha sheria
kwamba ni ruhusa kujamba kwenye "banquets".
Yes we canIS LOADING