Cole Williams
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 35,345
- 201,629
4.Ushuzi husafiri kwa mwendo wa futi 10 kwa sekunde.
Harufu ya ushuzi huanza kusikika sekunde 10-15 baada
ya mtu kujamba,hiyo ni kwa sababu inachukua muda
mrefu kwa harufu kufikia pua.
4.Ushuzi husafiri kwa mwendo wa futi 10 kwa sekunde.
Harufu ya ushuzi huanza kusikika sekunde 10-15 baada
ya mtu kujamba,hiyo ni kwa sababu inachukua muda
mrefu kwa harufu kufikia pua.
Hahahahaha njia za wizi zimezibwaInaelekea huyu jamaa kashikwa pabaya safari hii! [emoji23][emoji23]
Dah2.BOSCO Kutoka SUNOL, CALIFORNIA
Bosco Ramos ni mbwa aliyewahi kuwa Meya wa jiji la Sunol huko Caifornia Marekani. Aliwashinda binadamu wawili katika uchaguzi uliofanyika mnamo mwaka 1981 na kuwa Meya wa jiji hilo kwa takribani miaka 13 ambapo mwaka 1994 alifariki dunia, na mnamo mwaka 2008 walitengeneza sanamu la Bosco na kuliweka nje ya ofisi ya Posta ya jiji hilo.
Du3.HENRY CLAY (III) Kutoka LAJITAS, TEXAS
Huyu ni mbuzi aliyepata umaarufu mkubwa huko Texas kwakuwa mlevi wa kupindukia na Meya wa jiji la Lajitas. Henry alikua kivutio kikubwa kwa watalii ambao walitembelea sana eneo hilo ili kumuona Meya wa jiji hilo akinywa Bia nyingi pasina kulewa. Henry Clay alichaguliwa mwaka 1986 kuwa Meya wa jiji la Lajitas.
Aiseee4.LUCY LOU Kutoka RABBIT HASH, KENTUCKY
Mnamo mwaka 1998 Mbwa ajulikanae kwa jina la Goofy alichaguliwa kuwa Meya wa jiji la Rabbit Hash huko Kentucky ambae alimshinda binadamu kwa takribani kura 8000,baada ya kumaliza muda wake nafasi yake ilishikiliwa na mbwa mwingine aitwae Junior ambae pia nafasi yake kwa sasa inashikiliwa na mbwa wa kike ajulikanae kwa jina maarufu la Lucy Lou.
5.Kujizuia Kujamba Inaweza Kuhatarisha Afya Yako
Madaktari hawajakubaliana moja kwa moja kama kujizuia
kujamba ni hatari kiafya.Baadhi ya wataalam wanafikiri
kujamba ni sehemu muhimu katika mfumo wa
mmeng'enyo wa chakula,hivyo kujizuia kujamba
haitakuletea madhara.Wengine wanadhani kwamba
kujizuia kujamba kunaweza kusababisha tumbo kujaa
gesi,na pia inaweza sababisha bawasili (hemorrhoids).