tusionacho
JF-Expert Member
- Nov 23, 2016
- 274
- 514
Mi napenda kutia malike sio kutiwa
Gud gudi do the same
Unapenda kujazwa weye?jaza ujaziwe...
Mkuu wewe ninoma nadhani umejilambia likes kama 2500 hivi tokea nyuzi iwe jukwaaniPita kugonga like
Written by Ferdinand Oyono.House boy
Bado ndiyo kwanza zime chachamaalike hazijaisha tu??
KaribuNaombeni mnijaze likes za tangu asubuhi hadi sasa hivi, maana sijaingia humu tangu asubuhi
I know afu inabidi urudi kuzitoa!Yaani kugonga like nimezoea hata nikiingia kwenye majukwaa mengine najikuta nagawa likes bila kusoma yanayojadiliwa.