Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kuna Wahenga kibao humu aisee...
Tupo kijana, kuna wakati tulishindwa kwenda disco jumapili kwakuwa kulikuwa na marufuku ya kuendesha magari, kwakuwa kulikuwa na uhaba wa pesa za kigeni kwa TPDC kuagiza petrol. nchi ilibana matumizi kwa petrol kidogo iliyokuwapo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo shule kulikuwa na kauchochoro flani hivi, nadhani kulikuwa na ofisi za mafundi wa Posta! Kulikuwa na makazi ya wale watu wako, moudgulf! [emoji23][emoji23]
Kitengo cha ufundi cha simu kilikuwa eneo hilo, na hao jamaa walikuwapo kwenye moja ya vichochoro vya eneo hilo.[emoji3] [emoji3] [emoji3] jamaa yangu nawe ni muhenga[emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kitengo cha ufundi cha simu kilikuwa eneo hilo, na hao jamaa walikuwapo kwenye moja ya vichochoro vya eneo hilo.[emoji3] [emoji3] [emoji3] jamaa yangu nawe ni muhenga[emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app

Sasa si tulikuwa tunafukuzana mitaa hiyo na watoto waliokuwa wanaishi lile jengo la Posta ya pale Libya St. [emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…