moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
NdiyoSasa si tulikuwa tunafukuzana mitaa hiyo na watoto waliokuwa wanaishi lile jengo la Posta ya pale Libya St. [emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
NdiyoSasa si tulikuwa tunafukuzana mitaa hiyo na watoto waliokuwa wanaishi lile jengo la Posta ya pale Libya St. [emoji23][emoji23]
[emoji3] [emoji3] [emoji3]Leo andjul akikurupuka huko, usingizi utakata moja kwa moja! [emoji3]
Yakizidi anaamkaga. Ana machale balaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Very romantic japo haifikii ile ya Usukumani binti katandika kanga kwenye kijiwe tambarare mmeegemeana. Ukifika home magoti na viwiko vimechubuka vinavuja damu unasingizia umeanguka. Nyie acheni tu !!!