[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]thubutu ufanye hivyo kwa mwenye msambwanda! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Jiunge please. Hata kama ni kimsambw...sawa tu. Are you in?Hahaa... Bado nipo nipo kwanza! [emoji23][emoji23]
Hahaa... Bado nipo nipo kwanza! [emoji23][emoji23]
Hahaa... Bado nipo nipo kwanza! [emoji23][emoji23]
Unakakunja mwenyewe unakaweka mfukoni, unatembea nako! [emoji23][emoji23]
What's going on here?
Halafu litoto linakua unalikuta linakula bata mjini mama limemtelekeza huko kijijini hata halijui ana hali gani. Shwainiiiiiii !!!
MJWacko jacko
Nakubali. Madeni yanafanya akili ichangamke !!!
Ndo hapo sasa. Ukimwambia binti ukweli aisee utakesha !!!