Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hahahaha mwenzio walinyongwa kumbuka hahahaha we tetea tu hapo tusije kumpoteza mgonga likes hapa
hahahahahahaaa earth kuwa flat ina make sense kwa logic reason zenye uzito wa maana kabisa sema ndo hivo tena tushakaririshwa, tukamezeshwa, mwisho wa siku wakatuaminisha kabisa halafu wakatuzuia tusifikirie... so acha nikae kimya... in diamond in voice
 
Back
Top Bottom