mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
DuHapendwi mtu....Pesa pesaaa !!!
Mkuu upo,,03:35
nipo mkuuMkuu upo
Wewe gallery yako imejaa vitu gani mkuu? Galleries za Amun Ra ama? Mzee wa Tukuyu akiamka bila shaka atasafisha jicho.Shimba inaelekea gallery yako imejaa hivi vitu
Hope mzee wa Tukuyu naye
Hahahahaha
Tatizo mkuu habakizi maneno mifano iko mingi Katiba sio msahafu muda utwakwisha watakuja wengine mambo yatabadilikaNafurahi kusikia upo Mkuu. Mie nasubiri kuwasikia wastaafu wanaowashwa washwa au sijui muarobaini wao umepatikana hivyo hawatawashwa washwa tena.
R311R
R312R