mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
HahahahahaKwenye chips dume na juisi ya miwa! [emoji23][emoji23]
HahahahahaKwenye chips dume na juisi ya miwa! [emoji23][emoji23]
Huyu ni kabisa exactly location long time kitambo sanaKitengo cha ufundi cha simu kilikuwa eneo hilo, na hao jamaa walikuwapo kwenye moja ya vichochoro vya eneo hilo.[emoji3] [emoji3] [emoji3] jamaa yangu nawe ni muhenga[emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app
So sad kumbukumbu mbaya sana na hii hotel tulitoka Siku moja kwenye charity walk tukaenda jioni swimming pool rafiki alikufa hapo kwenye hiyo swimming pool ya Kilimanjaro alikuwa Mtoto wa naibu meya wakati huo na Diwani wa upanga Saada
AMUN RA
Kabisa mkuu
Hahaha
Indeed
HahahahahaLeo andjul akikurupuka huko, usingizi utakata moja kwa moja! [emoji3]
Mida mibovu
Green ever