Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Halafu tukisema nawe ni memba wa hikin chama chetu pendwa eti unabisha [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hapo sawa
Halafu tukisema nawe ni memba wa hikin chama chetu pendwa eti unabisha [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hapo sawa
Welcome to the club sir...Sawa kabisa
Yego si wamempachika uandaeitini. Wanamsingizia?Wazee wa zama, yegomasika, andjul, mzee wa liver, ho chi minh na wengine
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu, unainyemelea nafasi yangu ya ukatibu mkuu ama? Nimeanza kuingiwa na wasiwasi sasa ohooo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Anajiandaa kwa show ya kibabe labda .Supu?kwani una mtanange leo[emoji7]
Sent from my TV
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kwema mkuu?Tatizo la vijana wanafikiri mtu akishakuwa na umri mkubwa huduma hiyo mhimu hatakiwi kuipata!
Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app