ho chi minh
JF-Expert Member
- Sep 27, 2016
- 32,904
- 163,077
Yap
English figure Mkuu sio mitemboHalafu tukisema nawe ni memba wa hikin chama chetu pendwa eti unabisha [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahhaa kimodo hikiWelcome to the club sir...
Yego muhengaYego si wamempachika uandaeitini. Wanamsingizia?
Mkuu niaje*Mkiona mmeniita na sijatokea basi mjue nimepitia Nairobi, si ndio njia fupi !!!*
Mchina aisee wewe ni zama
Mkuu kwenye chai maharage umenikumbusha mbali sanaNimeutengua leo. Hata yule pupil nae alisoma somo la SIASA,angalau tuliopanda UDA, ford, chai maharage, Land Rover, na mabasi ya gorofa tumeongezeka humu
Na kwako piaUsiku uwe mwema wooote.
Shimba si unaona hapo English figure sio midubwana hileKuna jamaa aliapa kuwa lazima ampate huyu binti. Bahati mbaya masikini akaRIP kabla hajatimiza ndoto yake. Bria...
Chemical formula yetuLikes kwa posti