Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
W523
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] japo haina uhusiano na tulichokuwa tunaongelea [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mkuu huku amesema wastaafu wanawashawasha nini watulie
Carba kuanzia leo nami naanza kuvaa bukta fupi tu.Rudi page ya kwanza uangalie
Hivi maandamano yalizuia au yapo nianze kuandaaKama naona dalili mbaya za huu uzi maana
Wakiufuta watakuwa wametudhiki wengineHii JF ya sasa hii mods wako overzealous sana. Sitashangaa kama wakiamua kuufuta huu uzi !!!
Mmh!Kama nakumbuka kuna mtu alianzisha Uzi unafanana na huu mods wakaunganisha ukawa mmoja so nafikiri ni huyu jamaa