ho chi minh
JF-Expert Member
- Sep 27, 2016
- 32,904
- 163,077
Kk anajiandaa kwenda mahkama kusikiliza moja ya kesi zake za ugoni na dhurma.Nani huyo ho chi
Sent using Jamii Forums mobile app
Kk anajiandaa kwenda mahkama kusikiliza moja ya kesi zake za ugoni na dhurma.Nani huyo ho chi
Mi nilianza hapa nikiwa na likes elfu 12. Wakiondoka nazo zote aisee hata JF nahama kabisa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahahaha jaman wasiende na likes uwiii my vocha na mb aiseee
Likes for likesLIKES KWA LIKES
CantstopwontStop
Uzi ukifutwa nitaamini uchawi upo[emoji23][emoji23]UNAAMINI UCHAWI?
CantstopwontStop
Hizi zipo kwenye data mkuu hazifutiki[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Yeah. Naona umepelekesha sana sasa wanaufuta. Wakifuta tunaanzisha mwingine...and so on ...
Na wakiufuta basi waondoe na likes zote zilizopatikana hapa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hatariBukta (fupi) na mihogo ya jang'ombe wapi,na wapi? Halafu likipita limsambwanda huko mtu unaanza kuaibika [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Likely shemeji au baba mkwe !!!Nani huyo ho chi
WDXXIIW522
Yaani wakichukua likes natudi kuwa new member uuuuwiii[emoji134][emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]Hizi zipo kwenye data mkuu hazifutiki[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]