Hahahaha hamna bana nilikua na tu like twangu elfu 20000[emoji23][emoji23][emoji23]unawaza likes eeh
Mara paaap likes zinachukuliwa na uzi unarudi kuwa new member[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nime mcheki my love atafanya prayers kwa ajili ya Uzi huu don't worryMe nitakusaidia kwakweli
Pole shem,sipati alerts na hadi nije kuziona mda unakuwa umepita naonaga uvivu kujibu kama zikikaa mda mrefuNiliwahi kuja mara moja. Wala hukunijibu shemeji!!!
Mala nyumba mala fisi mala aghrrrr yaani ni shida tu natoka comments nasepa haraka sanaUnasikia "we kigoda toa takataka zako hapa"[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
jukwaa lile sijui linashida gani
Hongera sanaHahahaha hamna bana nilikua na tu like twangu elfu 20000
Hahahahaha[emoji12] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] yaani nacheka hapa mpka watu wanashangaa Uzi huu walai ukifutwa naandamana
Cole world wapi tusaidie hiliSi huu uzi sielewi hatma yake[emoji22]
Ila uzi bado wa jembe sasa sijui kafuta post yake ile
My princess mcheki Cole ana access na MelloMsalimie mke wa mugabe[emoji23][emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Furahi tu kesho uzi haupo tena na likes zote wanabeba[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ha wayuu dogo
Halafu nimegundua watu wasiojulikana wanataka kufuta Uzi huuSipati picha angekuwepo sijui angesema nini[emoji23][emoji23]
Andaeitini na John Walker wapi na wapi?
Muulize mkuuAndaeitini na John Walker wapi na wapi?
Kule hupawezi[emoji23][emoji23][emoji23]
Nitakuwa naku tag kule jf usiku wa manane
Busy lakini kwa hili lazima afanye mamboGoddess kesharudi? Tunamhitaji. Huu ndo muda wa magic zake kufanya kazi