carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
Wale wenye shida,maradhi na kila aina ya tatizo,Mungu awafanyie wepesi na awaponye maradhi yenu
HahahahahaHawa watu wasiojulikana wanatukosesha amani mtaani jamani 🙂🙂🙂
![]()
AminWale wenye shida,maradhi na kila aina ya tatizo,Mungu awafanyie wepesi na awaponye maradhi yenu
Yap yuko busy na mpira leoKumbe eeh basi haufutwi huu[emoji23][emoji23][emoji23]
Amina nitakutag Uzi ukienda mlamaMlale salama wapendwa
Mungu awalinde usiku huu
Jirani...unakwepa!!Mnaoenda kulala mkawe na usiku mwema
Wale mnaoenda/mliopo makazini mkawe na kazi njema
Tuonane tena nyuma ya keyboard kesho panapomajaaliwa
AMUN RAWale wenye shida,maradhi na kila aina ya tatizo,Mungu awafanyie wepesi na awaponye maradhi yenu
JembeKillo Post yako ya kwanza kabisa mbona haionekani??? nini shida??Hatuulizani Humu ni likes tu. Chukua like yako
Kabisa na tumezifanyia KaziLikes zimepatikana kwa uhalali...