myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Umoja
Sijui shida ni nini?? Jembekillo yuko wapi??Tusaidie Mkuu ni tatizo kubwa
Mbona funguo ulisema nikazitupe baharini kipindi kile baada ya kunifungulia.Alinikuta mtaa mmoja hivi nakula ubuyu na KK
Nitakupa funguo shemeji usijali
Maelezo yake hayajanyoka hata siku moja. Na kama ulibahatika kuona Masaki orijino basi huyu ni memba wa kabisa. Ngoja nimwandalie kadi tu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]We mwanachama hujielewi[emoji23][emoji23][emoji23]maana sitaki nataka nyingiii
Akina AMUN RA itabidi wagangamare hasa aisee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nime mcheki my love atafanya prayers kwa ajili ya Uzi huu don't worry
Kuna nini kwenye TV? Can't you multitask and watch your TV while posting some numbers here?Mkiona kimya mjue glued on my tv