Kauli toka kwa kiongozi wa taasisi furani, kwamba mbunge furani anaweza kunyimwa Uhuru wake wa kusema chochote ndani ya taasisi hiyo, ni UBABE wa kizamani wa kushabikia kuminya uhuru wa watu kusema ndani na nje ya taasisi husika. >> SIKILIZENI hili siyo jukwaa la siasa, gongeni likes hatutaki povu[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.